KIJANA WA MIAKA 29 AFUNGA NDOA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/06/kijana-wa-miaka-29-afunga-ndoa.html
KIJANA WA MIAKA 29 AFUNGA NDOA AKIWA KITANDANI KABLA YA MAUTI HAYAJAMCHUKUA MASAA KUMI BAADAE STORI KAMILIIKO HAPA.
Kijana wa miaka 29 mwenye raia wa Ufiilipino ambaye pia ni mgonjwa wa kansa amefunga ndoa akiwa kitandani na mpenzi wake alionyesha upendo wa ajabu kwa kufunga ndoa hiyo masaa machache kabla mauti hayaja mchukua lakini masaa 10 baadae mara baada ya ndoa hiyo kufanyika kaka wa kijana huyo aliripoti juu ya kifo cha ndugu yake huyo na hizi ndizo picha za ushahidi wa siku hiyo ya harusi yake....