Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Pingamizi la Kusimamisha Bunge Maalumu la Katiba

Dar es Salaam, Tanzania .  Mahakama ya Kuu yaTanzania, Kanda ya Dar es Salaam  hivi punde imetupilia mbali maombi ya pingamizi la awali ...

TAARIFA KAMILI JUU YA NDEGE ILIYOPOTEA MAPEMA LEO ASUBUHI IKITOKEA MWANZA HII HAPA.!

Ndege iliyopotea mapema leo ikitokea Mwanza kuelekea Magadi nchini Kenya, imepatikana huko eneo la Serengeti Mara, na abiria wote watatu ...

WAZIRI MKUU MSTAAFU Mh. EDWARD LOWASSA ATOA POLE MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipatiwa maelezo na Imam wa Msikiti wa Mtambani,Sheikh ...

WATU NANE WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA MWL.NYERERE WAKIINGIA NCHINI KWA PASPOTI BANDIA ZA MATAIFA TOFAUTI YA ULAYA

Idara ya Uhamiaji Nchini, imewakamata Raia wa nane (8) wa kigeni wakati wakiingia nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Nye...

Habari muhimu_KUHUSU MTU ANAYEHISIWA KUWA NA EBOLA JIJINI DAR ES SALAAM

Mhudumu wa afya akiwa katika hali ya tahadhari ya Ebola  huko Afrika Magharibi Kuna taarifa ya kuwepo kwa mtu mmoja anayehisiwa k...

MWANAUME ANASWA NA SEMBE UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE BONGO HUYU HAPA

Hati ya kusafiria ya mtuhumiwa huyo yenye namba AP816263 iliyotolewa Julai 3,2014 nchini Columbia. (picha: Francis Dande) Rai...

SERIKALI IMELIONYA GAZETI LA SANI KWA KUCHAPISHA HABARI NA PICHA ZISIZOKUWA ZA KWELI NA UZUSHI TU, ZAZUA HOFU KWA WANANCHI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Assah Mwambene (kulia) akiwaonyesha waandishi wa habari gazeti la Sani leo mjini Dar es Salaam lililocha...

ASKOFU ATUPWA JELA MIAKA 32 KWA UJAMBAZI, ALIPORA Tshs 5.3 BILIONI BENKI

Benki ya NBC tawi la Moshi. Picha ya Maktaba  Moshi. Askofu wa Kanisa la Christian Fellowship Assemblies of God la Arusha, Jumanne ...

RAFIKI FEKI MBELE YA WANAHABARI LIVE

Waandishi wa habari waliokuwa katika tukio hilo. JESHI   la Polisi Kanda ya Dar es Salaam linamshikilia na kumhoji mtu mmoja anayeitwa...

SIWEZI KUJADILI UPUUZI HUU' ASEMA RAIS KIKWETE KUHUSU TETESI KUWA ALIMUOKOA RIDHIWANI BAADA YA KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA!

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni mkusanyiko wa ...

AJALI MBAYA YAUA WATU WANNE NA KUJERUHI WENGINE 51 MKOANI MBEYA

Taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa mbeya kwa vyombo vya habari “press release” tarehe 31.07.2014.     Watu wanne wafariki dunia na wengi...

POLISI ALIYEFUKUZWA KAZI AKAMATWA AKIJIANDAA KWENDA KUFANYA UHALIFU

Askari Polisi aliyefukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu mwaka 2012 baada ya kukutwa na silaha katika ukumbi wa disko mkoani Kilimanjaro,...

KAMANDA KOVA ATOBOA SIRI YA BENKI NYINGI KUVAMIWA NA MAJAMBAZI HAPA NCHINI

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefichua siri ya kuongezeka kwa vitendo vya  ujambazi katika Benki mbalimbali hapa nchini ...

HATIMAYE HOSPITALI ILIYO TUPA VIUNGO VYA BINADAMU YAFUNGIWA

Serikali imeifungia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), baada ya kuifanyia ukaguzi na kubaini kasoro ...

SIMU YAMWOKOA MTOTO WA MAIAKA 4 ALIYEIBWA JIJINI DAR ES SALAAM, HII NDIYO MBINU ILIYOTUMIKA KUMKAMATA MWIZI KATIKA JIJI LA TANGA.

Mama mzazi wa Marylin Repyson (kulia), Elida Fundi, akiwa amembeba mwanawe huku akiomba jana baada ya kuwasili nyumbani kwake Changanyik...

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
index