Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Pingamizi la Kusimamisha Bunge Maalumu la Katiba

Dar es Salaam, Tanzania. Mahakama ya Kuu yaTanzania, Kanda ya Dar es Salaam  hivi punde imetupilia mbali maombi ya pingamizi la awali la kusimamisha Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma baada ya kesi hiyo kufunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea kwa kwa sababu ametumia kifungu cha sheria ambacho siyo sahihi.

Kesi hiyo imetupiliwa mbali kwa sababu mlalamikaji ametumia kifungu cha sheria namba 2 kidogo cha (2) (JALA) ambacho hakina mamlaka ya kufungua maombi hayo mahakamani.
Uamuzi huo umetolewa chini ya jopo la majaji watatu wakiongozwa na Mwenyekiti Jaji Augustino Mwarija, Aloyisius Mujuluzi na Dk Fauz Twaib.

Related

KITAIFA 2284757971757706068

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item