Ebola:Malaysia kutoa glavu milioni 20

Malaysia imetangaza kutoa mchango wa glavu milioni 20 kwa mataifa 5 yanayopambana na homa hatari ya Ebola Serikali ya Malaysia imesema...

Marekani kusaidia kupambana na Ebola

Serikali ya Marekani imeahidi kusaidia mapambano dhidi ya Ebola. Rais Barack Obama amesema nchi yake itapeleka vifaa vyake vya kijeshi ili...

VIDEO INATISHA: KUNDI LA IS LAMKATA KICHWA MWANDISHI MWINGINE WA MAREKANI, LATISHIA KUMKATA KICHWA MWINGINE RAIA WA UINGEREZA KULIPA KISASI (ONYO VIDEO INATISHA)

Mwandishi aliyechinjwa na IS Steven Sotloff Wapiganaji wa dola ya Kiislam IS wamesambaza picha za video katika mitandao kwa lengo la...

GARI LA ULINZI WA RAIS WA KENYA LILILOIBWA LAPATIKANA NCHINI UGANDA

Msemaji wa Rais alikana kuwa gari hilo lilikuwa limeibwa Maafisa wakuu kutoka shirika la polisi wa kimataifa, Interpol amethibitisha...

EBOLA SASA YAINGIA NCHINI SENEGAL

Waziri wa Afya wa Senegal amethibitisha kua ugonjwa wa Ebola umekwi...

Vyoo nafuu kuokoa maisha ya wanawake

India sasa wanawake hawatakufa wakijihifadhi. Kikundi kimoja cha kuj...

Marekani yaombwa silaha Ukraine

Mkuu wa baraza la kamati ya mahusiano ya Marekani ameiomba nchi yake kupeleka silaha Ukraine ili kukabiliana na kinachodaiwa uvamizi unaof...

watu 4 watiwa mbaroni kwa jaribio la kumuua Nyamwasa

Wawili kati ya sita walioshitakiwa wamefutiwa mashitaka Wanaume wanne waliokuwa wameshitakiwa kwa kosa la jaribio la kumuua ali...

EBOLA : HOFU YA WATU 20000 KUAMBUKIZWA EBOLA

Mawaziri wa afya wa Afrika Magharibi wanakutana Ghana kutafita njia za kupambana na Ebola Shirika la afya duniani WHO limeonya kuwa ml...

Marekani yalaani vita nchini Libya

26 Agosti, 2014 - Saa 07:54 GMT Facebook Twitter Google+...

WAKIMBIZI WENGI WAFA MAJI PWANI YA LIBYA WALIKIUWA WANAKWENDA ULAYA

Mashua iliyobeba wakimbizi kama 170 ikielekea Ulaya, imezama mwambao wa Libya na inahofiwa watu wengi wamekufa. Jeshi la wanamaji la Li...

US:Wapiganaji wa Islamic state ni tishio

Chuck Hagel na generali Dempsey wakihutibia wahabari Marekani imesem...

NI VILIO NA HUZUNI WAKATI MIILI YA WATU WALIOKUFA KWENYE NDEGE YA MALAYSIA IKIPOKELEWA

Miili 20 ya wahanga wa ndege ya Malaysia MH17 imewasili Kuala Lumpur Malaysia iko katika siku ya maombolezi ya kitaifa baada ya kupokea...

Watu 5 kortini kwa mauaji Uchina

Watu watano waumini wa dhehebu lililopigwa marufuku nchini Uchina wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kumpiga mwanamke mmoja hadi...

Kufa kufana: Mfanyakazi wa benki afikishwa mahakamani kwa kuiba pesa za abiria walipotea na Malaysia airline

Mwanamke mmoja mwenye cheo cha juu katika bank kubwa iliyopo Kuala Lumpur Malaysia pamoja na mumewe wameshtakiwa kwa kuiba pesa kutoka k...

Kundi la ISIS lamkata kichwa Mwandishi wa Marekani, latishia kumkata mwingine kulipa kisasi

Kundi la la wapiganaji wa Kiislamu la Iraq na Syria (ISIS) limetekeleza mauji ya kutisha kwa kumkata kichwa mwandishi wa habari ...

MWANDISHI WA HABARI RAIA WA MAREKANI AUAWA SYRIA

James Foley enzi za uhai wake akiwa na vitendea kazi vyake. Kikosi cha kiislam cha kijeshi chenye msimamo mkali kimeachilia video ina...

MAPOROMOKO YA ARDHI YAUA WATU 27 JAPAN

Maporomoko ya ardhi kugonga eneo la makazi nje ya mji Hiroshima katika magharibi ya Japan Kwa uchache watu 27 wameuawa katika maporo...

ZAHANATI YA WAGONJWA WA EBOLA YAVAMIWA,WAGONJWA WATOROKA

Kituo kilichotengwa na kuwekewa karantini kwa sababu ya ebola, kimeshambuliwa na zana kuporwa katika mji mkuu wa Liberia, Monrovi...

HATIMAYE KENYA AIRWAYS YASITISHA SAFARI ZAKE

Ebola:Hatimaye KenyaAirways yasitisha safari za ndege. Hatimaye shirika la ndege la Kenya Airways limesalimu amri na kukubali shin...

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
index