RAFIKI FEKI MBELE YA WANAHABARI LIVE
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/rafiki-feki-mbele-ya-wanahabari-live.html
JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam linamshikilia na kumhoji mtu mmoja anayeitwa Robson Seif Mwakyusa (30) mkazi wa Kijitonyama Jijini Dar, kwa tuhuma za kujifanya ofisa wa polisi kikosi cha usalama barabarani huku akifanya ukaguzi wa makosa ya usalama barabarani
Mtuhumiwa huyu alikamatwa jumamosi
iliyopita huko Kata ya Chamazi, Mbagala-Majimatitu Mkoa wa Kipolisi
Temeke akiwa amevalia sare za polisi na cheo cha stesheni sajenti na
akiwa na leseni mbalimbali za magari, ‘radio-call’, stakabadhi, na vitu
vingine.
Na Gabriel Ng’osha/GPL
kama huja like
ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia
punde tu zinapoweka kwenye mtandao huulike hapa