HUDDAH
http://melckstudio.blogspot.com/2014/06/video-huddah-monroe-aonyesha-makalio.html
Video: Huddah Monroe aonyesha makalio yake wazi wazi
Buo Art studio iliyopo Kenya, imekuwa ni studio inayofanya kazi na
wasichana maarufu nchini kenya, hasa katika swala zima la kupiga picha
wakiwa na suti za kuzaliwa na za kuogea
Baadhi ya wateja wa studio hiyo ni pamoja na Corazon Kwamboka, Vera
Sidika na Huddah Monroe, na sasa wametoa kipande cha video ya Huddah
inayomuonyesha akiwa ndani ya bikini huku makalio yake yakiwa wazi.