Mtoto
mdogo ambaye amezaliwa na miguu mitatu amesafirishwa kwenda nchini
Marekani kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji kuondoa miguu miwiliAna Paula
mwenye miezi 22 alikuwa ni pacha aliyeungana ambapo dada yake hakuweza
kupona wakati wa upasuaji wa kuwatenganisha.