BAADA YA KAULI YA ALLY KIBA.. DIAMOND AMCHANA LIVE SHUHUDIA HAPA

diamond 
Wiki iliyopita kupitia mitandao ya kijamii zilitoka stori ambazo zilizanzia kwenye 255 ya Clouds Fm ambapo aliulizwa Ally Kiba juu ya uhusiano na msanii mwenzake Diamond Platnumz.
Usiku wa kuamkia July 21 Diamond Platnumz ameandika ujumbe ambao mashabiki wengi wa muziki wa Bongo Fleva wameutafsiri kama majibu juu ya kile alichokisema Ally Kiba wiki iliyopita.
Katika ujumbe huo ambao Diamond kapost kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kaandika>>’Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke,Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa mengine ili nilete sifa na heshima nchini kwetu’.

dimaondkama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

BURUDANI 1923215680410874379

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item