Baada ya ushindi wa Tuzo za BET Davido afanya callable na Meek Mill
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/baada-ya-ushindi-wa-tuzo-za-bet-davido.html
Baada ya ushindi wa Tuzo za BET Davido afanya callable na Meek Mill
Katika kile alichokiandika mshindi wa Tuzo za BET "Davido" kutoka
Nigeria hakuna shaka kuwa ameshafanya collable na msanii wa May Bach
Music, Meek Mill.
Kupitia account yake ya instagram, davido alimuanidkia Meek Mill kuwa
hawezi kusubiri kusikia kazi yao imetoka baada ya Mill kumpa hongera ya
ushindi wa tuzo ya BET "Best International Act" Africa