Brazil:Luiz Felipe Scolari aacha kazi
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/brazilluiz-felipe-scolari-aacha-kazi.html
![](http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2014/06/28/140628153122_brazil_coach_luiz_felipe_scolari_512x288_afp_nocredit.jpg)
Scolari amelaumiwa kwa kichapo ilichopata Brazil
Ripoti nchini Brazil zinasema kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameacha kazi kama meneja wa timu hiyo.
Scolari alilaumiwa pakubwa sana kwa timu ya
Brazil kupata kichapo kibaya ilipocheza na Ujerumani ambao wameibuka
mabingwa wa kombe la dunia mwaka huu.Kichapo hicho kilikuja wakati wa mechi ya nusu fainali dhidi ya Ujerumani.
Taarifa rasmi huenda ikatolewa baadaye leo na shirikisho la soka la Brazil.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA