GOLIKIPA WA TIMU YA TAIFA YA PALESTINA AUAWA KIKATILI NA MABOMU YA ISRAEL

Familia ya wapenda michezo Duniani imepatwa na msiba mzito baada ya golikipa wa timu ya Taifa ya Palestina U17  Ahmed Abu Sida aliye uwawa na mashambulizi ya Israel kwa kweli kitendo hicho kimezidi kuionyesha Dunia kua kinachofanyika huko kwa kweli ni kitendo cha uvunjifu wa haki na wanaouawa ni raia wasio kua na kosa lolote. kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MATUKIO 7548305574195789303

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item