HAYA NDIO MANENO ALIONGEA ALLY KIBA KUMHUSU DIAMOND
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/haya-ndio-maneno-aliongea-ally-kiba.html


Ally Kiba kapatikana na kuongea sentensi hizi 4.
1-’Mimi nipo okey sana’
2-’Sifikirii tu kuongea nae basi lakini nipo okey’
3-’Sijawahi kufikiria kwa sababu kuwa okey na mtu ni pamoja na kuzungumza kuwa karibu yaani sijawahi kufikiria’
4-’Mimi nipo okey na sina chuki,sana sana nampongeza sina chuki simaindi na nipo okey’.
Bonyeza play kumsikiliza Ally Kiba