LIL WAYNE KIBOKO TAZAMA PICHA:HAWA NI WANAWAKE 9 AMBAO WAMEWAI KUTOKA NAO KIMAPENZI

weezy  
Hivi sasa Weezy yupo kwenye headline kwa tetesi zinasema kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii Christina Millian. Sasa watu wengi wamependa kujua historia ya kimapenzi ya hawa wawili. Kwa upande wa historia ya mahusiano ya Lil Wayne hawa ndio wanawake 9 aliwahi kuhusika nao kimahusiano waziwazi na wengine zilibaki kuwa tetesi.
1 
Adrienne Bosh alikuwa na mahusiano na Lil Wayne kabla hajaolewa na mcheza kikapu Chris Bosh
2 
Huyu ni video model Karrine Steffans ambaye alikuwa na mahusiano ya wazi kabisa na Lil Wayne
3 
Actress Megan Good alikuwa kwenye mahusiano na Weezy kwa muda wa miaka 3
4 
Kwa mcheza kikapu Skyler Diggins zilikuwa ni tetesi kwamba ana uhusiano na Lil Wayne
5 
Rapper Trina aliwakuwa na uhusiano na Weezy hadi aliwahi kupata ujauzito wake lakini bahati mbaya ujauzito uliharibika.
6 
Uhusiano wa Lil Wayne na muigizaji Lauren London ulileta matunda ya mtoto Cameron Carter
7 
Lil Wayne alivisha hadi pete Nivea mwaka 2002.
8 
Huyu ni mama wa mtoto wa kwanza wa Wayne anaitwa Reginae
9 
Hivi sasa tetesi zipo kati ya Wayne na Christina Milian

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

UDAKU 4300400867451215371

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item