Picha Za Utengenezwaji Wa Video Ya Victoria Kimani Ft Diamond&Ommy Dimpoz - Prokoto
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/picha-za-utengenezwaji-wa-video-ya.html
Uchukuaji wa video ya
wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha
Ommy Dimpoz na Diamond.
Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habariziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA