SIMANZI: KIJANA AKUTWA AMEJIUA KITANDANI - GEITA

Mwili wa kijana Paschal Jumbe ukiwa kitandani baada ya kujiua                 
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Paschal Jumbe (35) mkazi wa mtaa wa Mission katika kata ya Kalangalala wilaya ya Geita mkoani Geita amekutwa amekufa katika nyumba anayoishi  kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni msongo wa mawazo.
Akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa mtaa huo Juma Kajala amesema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo ambapo  saa 2.30 asubuhi  alipigiwa simu na watu wanaoishi naye kwenye nyumba hiyo.
Amesema  baada ya kufika hapo alikuta dirisha  likiwa limefunguliwa na marehemu akiwa amelala kitandani ndipo alipiga simu polisi na walipofika polisi walivunja mlango na kumkuta akiwa amekufa .
Naye dada wa marehemu Nyanyama Jumbe alisema kuwa mdogo wake alikuwa na ugonvi  wa kifamilia na mke wake Reticia Jumbe ambaye walipogombana alikwenda kuishi eneo la Nyankumbu nje kidogo ya mji na huenda ndicho chanzo cha mdogo wake kujinyonga.
Kamanda wa polisi mkoani hapaJoseph Konyo amethibitisha kutokea kwa tukio na kwamba uchunguzi zaidi kuhus tukio hilo unaendelea.
 kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA

Related

MATUKIO 2621945711870975654

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item