TAZAMA PICHA NOAH YATUMBUKIA MTONI,MWENDO KASI WAMPONZA DEREVA

 Gari aina ya Noah likiwa ndani ya mto baada ya kukosea njia na kutumbukia mtoni. Daraja hili liliharibiwa vibaya na Roli tarehe 19/06/2014.Daraja hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi
 Hii ndio hali halisi ya gari baada ya kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi uliopelekea kuhama njia.
 Hii ndio speed inayoruhusiwa unapokaribia kwenye daraja hili

Pia katika daraja hili liloharibika  kuna kibao kinachoonesha kuwa barabara  imefungwa na pia kuna kamba  za njano na nyekundu zikionesha kuwa hakuna njia lakini cha kushangaza gari hilo aina ya Noah liliweza kukata kamba hizo na kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi.
 kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA

Related

MATUKIO 3074353440082590966

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item