TUNAOMBA RADHI KWA PICHA...HIVI NDIVYO VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKUTWA KWENYE MFUKO USIKU HUU JIJINI DAR
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/tunaomba-radhi-kwa-pichahivi-ndivyo.html
Mmoja ya Kiungo cha Mguu
Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa
Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili itatolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa w
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu. LIKE HAPA