WASTARA:NATAMANI MWEZI MTUKUFU USIMALIZIKE MAANA UNANIFANYA NIWE KARIBU NA MWANANGU


Mcheza filamu mwenye jina kubwa Tanzania Wastara Juma Issa amesema anatamani mwezi mtukufu wa ramadhani usimalizike maana unamfanya anakuwa karibu na mwanae

Amesema mwezi huu shughuli za sanaa amesimama hivyo anashinda nyumbani tofauti na miezi mingine ambayo anakuwa kwenye miangaiko ya kuandaa filamu hivyo muda mwingi anashinda na kipenzi chake Frheen

'Unajua mara nyingi na kuwa bize na kazi kwenye miezi ya kawaida hivyo siwi karibu na mwanangu lakini mwezi huu sifanyi kazi za sanaa nashinda nae yani natamani mwezi usihishe"

Wastara anatarajia kuachia filamu yake mpya ya Last Decision inayotoka mwezi ujao akiwa amemshirikisha Hemedy Suleiman na wasanii wengine wengi.
 kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

BURUDANI 2115340714820735258

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item