ACT WAFANYA MKUTANO WAO MKOANI KIGOMA TAZAMA PICHA 5 HAPA, WANACHAMA WA CHADEMA WAKIRUDISHA KADI
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/act-wafanya-mkutano-wao-mkoani-kigoma.html
Wanachama
wa vyama vingi vya siasa hususani chadema wakiwa wanarudisha kadi zao
na kuchukua kadi mpya ya chama hicho kipya cha siasa nchini tanzania
mkutano uliofanyika kawawa ujiji, huku makamu
mwenyekiti wa chama hicho Shabani mambo akitoa ufafanuzi kwanini
wamehamia ACT kwasababu chadema ni chama cha ubinafsi na hakuna
demokrasia ya kweli kwenye chama hicho.
huku wakilaumu kuwa viongozi wa chadema waliwaita mizingo lakini wakasema wao ni mizigo lakini waliobaki ni vifurushi ndani ya chama.
Makamu huyo mwenyekiti aliendelea kusema na kuwambia wana kigoma kuwa aliyekuwa mwenyekiti wake mh mbowe alisema atakilinda chama cha chadema kwa hali na mali na wao wameahidi kumlinda kijana wao na mbunge wa kigoma kaskazini mh Zitto kabwe kama mboni ya jicho.
Nae mjumbe wa halmashauri kuu kasisiko alimtaka Zitto kabwe ache kuchelewa ajiunge ramsi na chama chake cha ACT kwa kuendelea na harakati za kukidumisha chama.
Baba mzazi wa Mh zitto kabwe nae amejiunga na ACT huku zitto nae kwa asilimia 96 ni member wa chama hicho cha kisiasa.
wananchi mbalimbali waliojitokeza katika mkutano huo wakifuatilia kinachoendelea.
watu wakirudisha kadi zao
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA
huku wakilaumu kuwa viongozi wa chadema waliwaita mizingo lakini wakasema wao ni mizigo lakini waliobaki ni vifurushi ndani ya chama.
Makamu huyo mwenyekiti aliendelea kusema na kuwambia wana kigoma kuwa aliyekuwa mwenyekiti wake mh mbowe alisema atakilinda chama cha chadema kwa hali na mali na wao wameahidi kumlinda kijana wao na mbunge wa kigoma kaskazini mh Zitto kabwe kama mboni ya jicho.
Nae mjumbe wa halmashauri kuu kasisiko alimtaka Zitto kabwe ache kuchelewa ajiunge ramsi na chama chake cha ACT kwa kuendelea na harakati za kukidumisha chama.
Baba mzazi wa Mh zitto kabwe nae amejiunga na ACT huku zitto nae kwa asilimia 96 ni member wa chama hicho cha kisiasa.
wananchi mbalimbali waliojitokeza katika mkutano huo wakifuatilia kinachoendelea.
watu wakirudisha kadi zao

Chanzo kibonajoro blog