ARSENAL WAITANDIKA CRYSTAL PALACE 2 -1, RAMSEY AWA SHUJA




Ramsey akimalizia klosi iliyopigwa na Mathie Debuchy na kumgonga Julian Speroni na kumfikia kiungo wa Arsenal na kutupia nyavuni katika dakika 90 + 2 ya mchezo.katika mchezo huo Crystal palace ndio iliyoanza kujipatia bao lake la kwanza kupitia kwa beki wake mrefu Hangeland akimalizila mpira uliopigwa kona dakika ya 35 dakika za nyongeza kabla ya mchezo kwenda mapumziko beki wa Arsenal Koscielny 45+1’) akaisawazishia timu yake goli mpaka kipindi cha kwanza kinaisha walikwenda wakiwa sare ya moja moja.
Aaron Ramsey vs. Crystal Palace: Shots 3, goals 1, pass accuracy 86%, tackles won 100%.
Last-gasp: Aaron Ramsey (right) is congratulated after pouncing in stoppage time to earn all three points for Arsenal against Crystal Palace at the EmiratesRamsey kulia akishangilia baada ya kuifungia timu yake goli la ushindi.
kipindi cha pili cha mchezo timu zote zilifanya mabadiliko lakini mabadiliko hayo yaliwanufaisha zaidi Timu ya Arsenal kwani katika dakika 5 za nyongeza kiungo wake Aron Ramsey aliipatia goli timu yake na kuondoka na pointi 3 kwenye mchezo huo wa ligi kuu soka nchini uingereza.
Towering: Hangeland timed his run to the front post perfectly to meet Jason Puncheon's inswinging corner and put Palace in frontHangeland timed his run to the front post perfectly to meet Jason Puncheon's inswinging corner and put Palace in front
vikosi vya leo vilikuwa kama ifuatavyo 
Arsenal: Szczesny, Debuchy, Gibbs (Monreal 53), Arteta, Chambers, Koscielny, Sanchez, Ramsey, Sanogo (Giroud 62), Wilshere (Oxlade-Chamberlain 69), Cazorla
Substitutes not used: Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Martinez, Campbell, Coquelin
Scorers: Koscielny 45; Ramsey 90
Booked: Chambers, Cazorla
Crystal Palace: Speroni, Kelly, Ward, Jedinak, Dann (Delaney 74), Hangeland, Puncheon, Ledley, Campbell (Gayle 85), Chamakh, Bolasie (O'Keefe 90)
Substitutes not used: McCarthy, Hennessey, Murray, Bannan
Scorer: Hangeland 35
Booked: Puncheon, Kelly, Chamakh
Sent off: Puncheon 
Referee: Jonathan Moss
Attendance: 59,962
 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MICHEZO 6309651591280544801

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item