Ben Pol kuachia wimbo Mpya 'Twaendana' Jumatatu, watagawana mapato na producer
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/ben-pol-kuachia-wimbo-mpya-twaendana.html
Ben Pol amepanga kuachia wimbo mpya Jumatatu ya wiki ijayo ambao ameufanya katika studio za Noiz Mekah, chini ya producer DX.Akiongea na tovuti ya Times Fm, DX ameeleza kuwa wimbo huo utatoka maalum kwenye mtandao wa Mkito hivyo utakuwa ukinunuliwa online.
Kwa mujibu wa Ben Pol, yeye na DX walikubalina kuwa wimbo huo utakuwa wa kwao wote katika biashara hiyo kwa maana kwamba watagawana.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA
