HAKUNA KAMA WASTARA BONGO MOVIE,ALICHOKIFANYA NI ZAIDI YA HISTORIA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/hakuna-kama-wastara-bongo.html
Mcheza
filamu mwenye sifa ya kuzitendea haki filamu za huzuni Wastara Juma
ameandika historia nyingine kwenye maisha yake ya sanaa baada ya kufanya
uzinduzi wa filamu yake mpya ya Last Decision mtaa kwa mtaa tofauti na
wasanii wenzake amabo wanaziundua kwenye kumbi za starehe

Akiongea
kiafrika bila hofu yoyote kwa kua Tanzania ni inchi huru Wastara
amesema anatambua thamani ya mashabiki wake na kua wengi wao ni wa hali
ya chini kifedha hivyo ameomua kufanya mtaani ili wauone tofauti na
kwenye kumbi wangeudhulia wachacwenye nazo
'nimeamua
kufanya hivi ili kuwafikia mashabiki wangu wote na kuwauzia cd kwa
mkono wangu nikiwa sambamba na team yangu team wastara"
Nae meneja wa Wastara
Bond Bin Sinnan amesema anafuia sana kufanya kazi na mrembo huyo kwani
anashaurika na anatambua anachokifanya kwenye tasnia ya filamu,vilevile
amewapongeza team wastara kwa moyo wao wakujitolea kusapoti Wastara
filamu ya Last DEcision imezinduliwa 14.08 mwaka huu na kusambaa nchi nzima kupitia kampuni ya steps.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA