Kagame Cup Kuanza Agosti 8


 
                                          Nicholas Musonye Katibu Mkuu wa CECAFA

ndumbwe ndumbwe cha michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup kinaanza kesho ambapo mechi ya ufunguzi ya Kundi A ni kati Atlabara ya Sudan Kusini ambayo itamenya na KMKM ya Zanzibar kuanzia saa saba mchana.
Mechi ya pili itakuwa ni mechi ya kundi B kati ya Gor Mahia ya Kenya ambao watapepetana vikali na KCCA ya Uganda .
Wenyeji Rayon sports ya Rwanda itashuka dimbani kumenyana na Azam ya Tanzania katika mechi nyingine ya kundi A.
Azam ya Tanzania imepata nafasi ya kucheza michuano hiyo baada ya Yanga pia ya Tanzania kuondolewa kwa kutotimiza vigezo vya michuano hiyo ambapo ni pamoja na kupeleka kikosi cha pili cha timu hiyo.


kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MICHEZO 2137212304396267198

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item