Kamusi ya Oxford yaingiza rasmi msemo aliouimba Drake 'YOLO' na kutoa maana yake, wadau wakosoa

Kamusi ya Oxford yaingiza rasmi msemo aliouimba Drake
Kamusi ya kiingereza  ya Oxford (Oxford Dictionary) imeingiza rasmi kwenye catalogue yao ya online msemo anaopenda kuutumia Drake ‘YOLO’.
Msemo huo ambao ni herufi nne zinazoelezea ufupisho wa neno 'You Only Live Once’ unakuwa miongoni mwa Phrases kama vile FML, SMH na maneno mengine ambayo sio ya ufupisho.
Drake alilitumia ‘YOLO’ kwa mara ya kwanza mwaka 2011 katika wimbo wake The Motto uliokuwa kwenye albam ya Take Care.
Hata hivyo wadau wengi wamekosoa kuwa Drake sio mtu wa kwanza kulitumia neno hilo bali yeye amesaidia kulipatia umaarufu zaidi. hivyo hapaswi kuchukuliwa kama mmiliki wa YOLO.
Wameonesha sehemu 11 ambazo neno hilo lilitumika sana ikiwa ni pamoja na kuwekwa kwenye filamu tena likiwa na maana hiyo hiyo. Hizi ni baadhi tu.
Hii inadaiwa kutumika mwaka 1939.\
 
YOLO clothing line ya mwaka 2004
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

chanzo timesfm

Related

BURUDANI 6055254123232474523

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item