KIJANA AMUUA MAMA YAKE KISA CHAKULA..
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/kijana-amuua-mama-yake-kisa-chakula.html

Kijana
mmoja nchini kenya ameshtakiwa kwakosa la kumuua mama ake mzazi bila
sababu liyokua ya msingi,, hii ni kutokana na kwamba, walishindwa
kuelewana katika swala la chakula.... ilo mpelekea kijana uyo kumuua
mama yake mzazi..
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA