Mwanamitindo ayashitaki Makampuni kwa kuonesha sehemu zake za siri kwenye TV Show
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mwanamitindo-ayashitaki-makampuni-kwa.html

Katika
shitaka hilo, Jessie anadai fidia ya $10 million kutoka kwa makampuni
ya Viacom, Firelight Entertainment, Lighthearted Entertainment kwa
kushindwa kuficha kwa kuweka blur kwenye maeneo ya sehemu zake za siri
kama walivyokubaliana awali.
“Ingawa
niliingia kwenye shindano hilo nikijua kuwa ningeshuti nikiwa mtupu,
niliambiwa kuwa sehemu zangu za siri zingefichwa kwa kuwekewa blur kwa
ajili ya show ya TV…hata washiriki wengine hawakutegemea kuona hivyo.”
Alisema Nizewitz.
Kipande cha show hiyo kinachomuonesha mwanamitindo huyo kilirushwa July 31 mwaka huu
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu like hapa