http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/picha-na-maktaba-akithibitisha-kutokea.html

picha na maktaba:
AKithibitisha
kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Wilaya ya Buhigwe (OCD),
Samwel Utonga alisema basi hilo lilikuwa likotokea Kilelema kwenda
Kasulu Mjini ambapo watu hao walilirushia kitu kinachoaminika kuwa ni
bomu.
Kigoma.
Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine sita kujeruhiwa
baada ya basi dogo la abiria (Hiace) kurushiwa bomu na watu
wasiojulikana huko Kasesema, Kigoma alfajiri ya leo.
AKithibitisha
kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Wilaya ya Buhigwe (OCD),
Samwel Utonga alisema basi hilo lilikuwa likotokea Kilelema kwenda
Kasulu Mjini ambapo watu hao walilirushia kitu kinachoaminika kuwa ni
bomu.
Taarifa
kutoka Hospitali ya Muyama zinazema majeruhi hao wamehamishwa toka
hospitalini hapo na kupelekwa Hospitali ya Kasulu baada ya hali zao
kuwa mbaya.
chanzo mwananchi.co.tz
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA