TAZAMA PICHA: RIHANNA AMPIGIA MIKAUSHO CHRIS BROWN KWENYE MECHI YA BASKETBALL
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/tazama-picha-rihanna-ampigia-mikausho.html

Kitu
kilichotengeneza headline ni pale Rihanna alivyoonyesha mikausho mikali
hasa wakati Chris Brown anapokuwa karibu yake wakati wa mechi hiyo.
Kuna wakati Chris Brown alikuwa anawasalimia mashabiki waliokuwa wamekaa
karibu na kiti cha Rihanna na picha zilipigwa Rihanna anaonekana
ameweka mikausho na kuangalia pembeni.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA