VIDEO - Mfahamu Jyoti, mwanamke mfupi zaidi duniani 'Sentimita 60' anaepata deals kubwa Marekani

Video: Mfahamu Jyoti, mwanamke mfupi zaidi duniani
Unaweza kuwa mfupi kiasi cha kukufanya utamani kuongezeka, lakini ukiwaona wenzako wanavyopeta nalo basi utagundua unapaswa kumshukuru Mungu kwa umbo lolote ulilopewa.
Jyoti Amge, mwenye umri wa miaka 21, ndiye mwanamke mwenye kimo kifupi zaidi duniani akiwa na urefu wa inches 24 (sawa na urefu wa rula mbili za sentimita 32).
Jyoti ambaye ni mkazi wa Napur, India, aliingia rasmi katika kitabu cha Guinness mwaka 2011 kama mwanamke mfupi zaidi duniani aliye hai na tayari ameshapata deals kubwa kwa kimo chake.
Amewahi kushiriki katika makala maalum ya Body Shock: Two Foot High Teen na August 13, na mwaka huu alipata deal ya kuigiza katika ‘American Horror Story: Freak Show’.

Mwanamke huyo ambaye kimo chake kinatajwa kuwa kimetokana na tatizo la kutokua kawaida ‘achondroplasia’ anaendelea kupiga deals kubwa na amegeuka kuwa lulu kwa muonekano huo wa kipekee.

Jyoti akiwa amebebwa
Angalia video yake alipoingia Marekani.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

BURUDANI 1502620887488465424

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item