CHEKI KISA HIKI KILICHOTOKEA COCO BEACH, JAMAA AIBA GARI LA MAMA YAKE NA KUPATA NALO AJALI BAADA YA KUMPA DEMU WAKE

Imetokea Mitaa ya Coco Beach DARImetokea pande za COCO BEACH kuna JAMAA bana aliiba NDINGA kwa BI MKUBWA wake akaenda naloBEACH alipofika kwa mbwembwe 
akamkabidhi DEMU wake aendeshe kumbe DEMU hajui KUNYONGA banasi akalipandisha milimani kule kwa mwedo wa kasi akashindwa kufunga breki akaliangusha toka juu mlimani mpaka chini kwenye yale maporomoko.Kwa sasa DEMU yupo MUHIMBILI ICU kaumia vibaga sana na mchizi nae kavunjika MKONO wa kushoto sa sijui alikua anataka kulizuia NDINGA kwa mikono daaaah Mbwembwe hazifai.Bi mkubwa alipovutiwa waya alifika fasta eneo la tukio na alipoliona NDINGA lake lipo kwenye hali ya UCHAPATICHAPATI aliangua kilio kama kafiwa na mumewe.NB: Imewekwa kama ilivyotumwa. CREDIT:GONGMIX

LIKE HAPA

Related

UDAKU 1957870530198821896

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item