DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA KWENYE UZINDUZI WA BIG BROTHER AFRICA, JUMAMOSI

Diamond platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii wataotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa utakayofanyika jumamosi hii, September 7 nchini Afrika Kusini.

Akizungumza na bongo5 leo, Meneja wa staa huyo Babu Tale amesema Diamond atarejea leo akitokea nchini Ujerumani ili kujianda na show hiyo.
''Diamond anarudi leo saa tano usiku atakuwa kasharudi bongo kwa sababu weekend hii tunaperform kwenye Big Brother Africa. Tukitoka South Africa tunakwenda Nairobi kwenye Coke Studio kurekodi. Tukitoka Nairobi tunakwenda Uingereza kwenye show ya Africa Unplugged, Kwa hiyo ratiba yetu ipo tight,''amesema Tale.

Related

BURUDANI 4919916562978019060

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item