KIVAZI CHA JINI KABULA AIBU...."MAZIWA" YOTE NJE

 Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichomuacha wazi mwili wake.Jini Kabula alitinga kivazi hicho kwenye bethidei ya mtoto wa mwigizaji mwenzake, Riyama Ally ambayo aliiunganisha na ya kwake na kufanya bonge la sherehe katika Ukumbi wa Chamuruma uliopo Mabibo jijini Dar, ambapo mwanadada huyo bila kujali macho ya watu alitinga blauzi nyepesi inayoonesha maungo yake ya ndani yalivyo hivyo kuzua minong’ono kwabaadhi ya waalikwa.

LIKE HAPA

Related

UDAKU 158047910353201500

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item