Picha: Iggy Azalea alisaini makubaliano ya kuuza sextape yake

Mpenzi wa zamani rapper Iggy Azalea ambaye pia alikuwa meneja wake, anadai kuwa Iggy alisaini makubaliano ya kumruhusu kuuza sex tape yao, TMZ imesema.
iggy-azalea-erikbyerik-13172137
Hefe Wine anadai kuwa Iggy ambaye jina lake halisi ni Amethyst Amelia Kelly alisaini makubaliano hayo naye mwaka ambayo TMZ imeyapata ya kumpa ruhusa ya kuzalisha, kuuza, kusambaza na kutangaza video hiyo. Wine anaamini kuwa Iggy hana haki ya kisheria kuzuia uuzwaji wa kanda hiyo.

0915-iggy-signature-rip-4
Mkataba huo pia unadai kuwa Wine ana haki ya kisheria ya kutengeneza na kusimamia website ya kutangaza kazi za Iggy na anaamini anaweza kutengeza website atakayoweka video hiyo.

Related

UDAKU 6545316297534059848

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item