Anayetuhumiwa kumuua ofisa usalama wa taifa naye auawa

Mkazi  Chanika mkoa wa Dar es salaam,PauloMilanzi(35), anayetuhumiwa kushiriki kumuua ofisa usalama wa taifa Sylivanus Mzeru amepigwa risasi na kufa katika majibizano ya silaha na Polisi.
Kauli hiyo imetolewa na kamanda wa kanda maalumu ya Kipolisi, Kamanda Kova.

Kamanda kova alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akitafutwa na polisi kwa muda mrefu kuhusiana na matukio mbalimbali ya mauaji
Kauli hiyo imetolewa na kamanda wa kanda maalumu ya Kipolisi, Kamanda Kova.

Kamanda kova alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akitafutwa na polisi kwa muda mrefu kuhusiana na matukio mbalimbali ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha jijini Dar es salaam na mikoa ya jirani.

Related

BURUDANI 4183554201709338990

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item