Brand New Single: Ben Pol - Upendo
http://melckstudio.blogspot.com/2014/06/brand-new-single-ben-pol-upendo-dowload.html
Brand New Single: Ben Pol - Upendo dowload here
Mkali wa R&B Bongo Ben Pol a.k.a Ben Pizeeee, leo amedondosha single mpya "Upendo" aliyoifanya kwa producer Man Walter
Ben Pol amesema huu ndio wimbo wake wa kwanza kuandikiwa kuanzia
mashairi mpaka melody ya wimbo huo na jamaa anaeitwa Kinye Wynjones.
Katika wimbo huu Ben Pol amekuja kitofauti sana na jinsi tulivyomzoea.
dizaini kama bolingo flani hivi...msikilize hapo chini na usisahau kuwa
leo hii utapata kuona video ya wimbo wake aliofanya na Joe Makini
"Unanichora" ikifika saa nne za usiku hapa hapa kwa blog yako