SUAREZ AMNG;ATA MENO GIRGIO
http://melckstudio.blogspot.com/2014/06/suarez-amngata-meno-girgio.html
Suarez afungiwa kucheza mechi 9 kwa mpira wa kimataifa na mipira yote kwa miezi minne kwa kitendo cha kumn'gata Giorgio
Mshambuliaji
wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez amefungiwa mechi tisa na
shirikisho la kandanda duniani Fifa baada ya kupatikana na hatia ya
kumuuma mlinzi wa timu ya Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi yao ya
kombe la dunia nchni Brazil.
Suarez pia amefungiwa kutojihusisha na shughuli yoyote ya kandanda kwa miezi minne na kutozwa faini ya dola laki moja.Kutokana na adhabu hiyo Suarez sasa hatashiriki tena kwenye mechi zilizosalia za kombe la dunia.Posted By Anthony Kalima