ANGALIA PICHA..! HEKA HEKA ZAMAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID.. NI SHIDAAAA....!!!!!
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/angalia-picha-heka-heka-zamaandalizi-ya.html
Pichani juu ni pilika za wakazi wa jiji katika mitaa ya
Kongo Kariakoo jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya Sikukuu ya Eid fitr
ambapo kamera yetu imewanasa wakazi hao wakifanya manunuzi mbalimbali kwa ajili
ya sikukuu hiyo.
(PICHA NA GABRIEL NG'OSHA /…)
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA