SALMA JABU(NISHA) BADO ANAONGOZA KWA MAUZO YA FILAMU ZAKE BONGO
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/salma-jabunisha-bado-anaongoza-kwa.html
Salma jabu nisha ndio msanii pekee namba
moja ambae anaongoza kwa filamu zake na alizo shiriki kuwa zinaongoza kwa mauzo
sokoni mpaka sasa hajapatikana wa kumpiku hii ina tokana na uhodari wake wa
kujituma na kujiheshimu na kuwapa radha mashabiki wake na Rekodi yake
haijavunjwa mpaka sasa sokoni na kupachikwa jina la Diva wa soko la
filamu tanzania.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA