DUNIA IMEKWISHA.! WATOTO 5 WALAWITIWA KWA MPIGO NA MWENZAO MKOANI MOROGORO!
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/dunia-imekwisha-watoto-5-walawitiwa-kwa.html
Watoto waliolawitiwa na mwenzao mwenye miaka 14.
Dunia imekwisha! Jeshi
la polisi mkoani hapa linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina
linahifadhiwa) anayesoma darasa la sita kwa tuhuma nzito ya kuwalawiti
wenzake watano kwa mpigo. Tukio
hilo la kusikitisha lilijiri katika Mtaa wa Twanga Pepeta Kijiji cha
Fulwe-Dindili Kata ya Mikese Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani hapa
ambapo dogo huyo alidaiwa kufanya tukio hilo ambalo ni gumzo kwa sasa
huku raia wenye hasira kali wakitishia kumshushia kipigo denti huyo
waliyempa jina la Babu Seya endapo ataachiwa na jeshi la polisi.
Mjumbe wa serikali ya mtaa wa Twanga Pepeta, Kitwana Tupa.
Mwanahabari
wetu alifunga safari hadi kijijini hapo ambapo baadhi ya wananchi
waliohojiwa walidai kwamba dogo huyo alikuwa akiwalawiti wenzake kwa
kigezo cha kuwapanga kwenye mechi za mpira wa matambara.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonald Poul.
lli
kupata undani wa tukio hilo, mwanahabari wetu alifika nyumbani kwa
mtuhumiwa huyo na kukuta tayari jeshi la polisi lilifika
limeshamkamata. Mjumbe wa
serikali ya mtaa huo wa Twanga Pepeta Kitwana Tupa alikiri kutokea kwa
tukio hilo na kwamba wanasubiri sheria ichukue mkondo wake baada ya
kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonald Poul.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA