AJALI:- NDEGE NYINGINE TENA YATUA KWA DHARURA NA KUSABABISHA KIFO CHA MTU MMOJA NA MWINGINE KUJERUHIWA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/ajali-ndege-nyingine-tena-yatua-kwa.html

Ndege
ya abiria ambayo imelazimika kutua kwa dharura ufukweni huko Venice
Florida Marekani baada ya kupata tatizo ikiwa angani na rubani kuona
hakukuwa na uwezekano wa kufika uwanja wa ndege alikofanya mawasiliano.
Kutua
huku kwa dharura kumesababisha kifo cha Mwanaume mmoja alikua akitembea
ufukweni huku mtoto wake wa kike akijeruhiwa vibaya kwenye hii ajali.
Rubani
na abiria wake hawakuumia kwenye hii ajali ila mtoto wa kike ambae
anahisiwa kuwa na umri wa miaka 10 ndio ameumia sana na kukimbizwa
hospitali.