BREAKING NEWSS:NDEGE NYINGINE YAPOTEA




Maafisa wa masuala ya anga nchini Algeria wanasema wamepoteza mawasiliano na ndege ya shirika la ndege la Air Algerie, iliyokuwa katika anga ya Sahara. Shirika la habari za Algeria limesema ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kwenda Algiers na kupotea kwenye rada takriban dakika 40 baada ya kupaa kutoka jijini Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso.
 
Air Algerie imesema imeanza shughuli za dharura kuitafuta. Indadhaniwa kuwa na abiria 110 na wafanyakazi sita. Njia ya ndege hiyo ni kupitia nchini Mali ambapo kuna mzozo unaendelea upande wa kaskazini.
 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

KIMATAIFA 6996543111089892220

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item