AJALI MBAYA YA FUSO SHINYANGA MPAKA SASA WATU WAWILI WAMEKUFA,29 MAJERUHI
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/ajali-mbaya-ya-fuso-shinyanga-mpaka.html
Miili ya marehemu ikiwa katika eneo la dharura katika hospitali ya mkoa wa shinyanga |
Kwa mujibu wa kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Maguja Daniel ameiambia malunde1 blog kuwa mpaka sasa wamepokea miili miwili ya marehemu na majeruhi 29 |
Huduma inaendelea kutolewa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga |
Baadhi ya majeruhi wameiambia malunde1 blog kuwa gari aina ya fuso waliyokuwa wamepanda tena kwa kujazana ilikuwa inafukuzana na fuso nyingine na ghafla walijikuta wakiwa wameshapinduka |
Kulia ni kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Maguja Daniel akichukua maelezo kutoka kwa askari wa usalama barabarani |
Majeruhi akipelekwa wodini |
Kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Maguja Daniel akizungumza na waandishi wa habari hivi punde-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA |