BREAKING NEWZ: BASI LA FB LAPATA JALI LAJERUHI 4
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/breaking-newz-basi-la-fb-lapata-jali.html
Watu
42 wamejeruhiwa,21 kati yao wakiwa na hali mbaya,baada ya basi la
kampuni ya SB lililokuwa linatokea Mtwara kwenda Dar es salaam kupata
ajali eneo la Mchinga-Lindi.
Tutakuleta habari jinsi tutakavyoweza kuzipata
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA
