CHADEMA YAPOTEZA UELEKEO VIONGOZI WAKE MKOANI KIGOMA WAJIUZULU
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/chadema-yapoteza-uelekeo-viongozi-wake.html
Viongozi
wa CHADEMA Mkoa waliojiuzuru ,kuoka kushoto ni Msafi Wamarwa aliyekuwa
Katibu wa chama Mkoa,wakatika ni Ramadhani Kasisiko aliye kuwa
Mwenyekiti wa chama Mkoa pamoja Malumba Simba liyekuwa katibu wa BAWACHA
VIONGOZI wa chama cha maendeleo na demokrasia (CHADEMA)wajeuzuru jana rasmi nyadhifa zao pamoja na uanachama wa chama hicho.Viongozi
hao waliotangaza kujiuzuru nafasi zao katika chama hicho mbele ya
waandishi wa habari ni Jafari Ramadhani Kasisiko ambaye alikuwa
Mwenyekiti wa chama Mkoa,Msafiri Hussen Wamarwa amabye alikuwa katibu wa
chama Mkoa pamoja na Malunga Masoud Simba alikuwa Kaibu wa Baraza la
wanawake BAWACHA.Akiangaza
uamuzi kwa niaba ya wenzake aliyekuwa Mwemnyekii wa CHADEMA Jafari
Kasisiko alisema kuwa wamefikia uamuzi huo baada ya kuona CHADEMA
kimepoeza sifa ya kuwa chama cha demokrasia na kuwa chama cha wababe.
”Sifa
iliyokuwa inaufanya ubaki CHADEMA ni kwakuwa kilikuwa ni chama cha
dempkrasia lakini hivi sasa kimeshapoteza hiyo sifa na kuwa chama cha
kibabe na kinachokiunga misingi ya demokrasia hatuna sababu ya kuendelea
kubaki katika chama hiki”alisema Kasisiko
Kasisiko ambaye aliondoka chama cha CCM mwaka 1985 na kukaa nje ya siasa kwa muda kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1994.
”Kwa
mfano wa demokrasia inayokiukwa CHADEMA kipindi kile aliyekuwa Naibu
katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe Zitto alipoaka kugombea nafasi ya unyekii
CHADEMA livuliwa wadhifa wake baada ya kufuaia kutangaza nia sasa pale
Zitto kosa lake nini?alihojilakini ukipiia kaiba ya CHADEMA hakuna
sehemu inayokaza mwananchama kugombea nafasi ya unyekii”
”Kwahiyo katika CHADEMA sasa hivi nafasi ya unyekiti ni kiu nyeti sana hastahili mwanachama yeyote kugombea”alisema Kasisiko
Alisema
kuwa pamoja na kuwa wamechukua muda mrefu kabla ya kuangaza uamuzi wao
huo walikuwa na sabbabu za msingi zilikuwa zinawafanya wasiangaze haraka
uamuzi huo,lakini tangu Zitto alivyovuliwa madaraka yake walikuwa
hawana imani tena na chama kwasababu hawezi kuwa ndani ya chama ambacho
ni mamlaka ya fulani.
Naye
aliyekuwa Katibu wa Mkoa wa chama hicho Msafiri Wamarwa alisema kuwa
kwa ridhaa yake toka moyoni bila ya kushawishiwa na mtu ameamua kuondoka
CHADEMA na kabla ya uamuzi huo alikaa chini na kutafakari sana na kuona
njia sahihi ni kutoka CHADEMA kwakuwa chama hicho hakina faida kwa
wananchi.
Baada
ya kujiuzuru uongozi na uanachama toka CHADEMA aliyekuwa Mwenyekii wa
chama hicho Mkoa Ramadhani Kasisiko anajiunga na chama kipya cha cha
siasa cha Allience for Change and Trasparency(ACT)lakini wenzake
wamesema bado wanaafuta chama makini cha kujiunga nacho.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA