DEREVA BAJAJI WAKUTWA MBEZI DAR ES SALAAM
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/dereva-bajaji-wakutwa-mbezi-dar-es.html
![]() |
Ufunguo wa Bajaj aliyokuwa akiendesha marehemu Ras Kiduku.
MWILI
wa kijana ambaye ni dereva wa Bajaj aliyejulikana kwa jina la Erick
maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa ukiwa umetupwa eneo la
Kilongawima, Africana-Mbezi jijini Dar es Salaam. Pembeni ya mwili huo,
ulikutwa ufunguo wa Bajaj yake ambayo ilikutwa imetelekezwa barabarani
jirani na mwili wa marehemu ulipokutwa.
CHANZO GPL
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA
|