EXCLUSIVEEE................SASA BOB JUNIOUR KUFANYA KOLABO NA SUKARI YA WAREMBO

 
 Msanii wa muziki na producer, Bob Junior amesema kuna uwezekano mkubwa 
wa kufanya kolabo na msanii aliyemtoa, Diamond Platnumz.



Akizungumza na Bongo5, Bob Junior aliyetayarisha nyimbo za Diamond zikiwemo ‘Kamwambie’ na ‘Mbagala’ amesema kwakuwa yeye ndiye aliyemtoa akiamua muda wowote wanaweza kufanya naye kazi.

“Kwa sababu nia bado ipo na sisi tupo hai hatuwezi kujua nini kitatokea, siwezi sema natamani ni kijana wangu ambaye nimemtoa mimi nikiamua siku nafanya naye nitafanya naye, haiwezi kuwa na ugumu,” amesema Bob 


kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

UDAKU 2104911422081486687

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item