GERMAN YASHIKA NAFASI YA KWANZA KWENYE RANK ZA FIFA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/german-yashika-nafasi-ya-kwanza-kwenye.html
Ujerumani imechukua namba moja katika msimamo wa Fifa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 24. Mabingwa hao mara nne, wamechukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Spain. Argentina ni ya pili, na Uhoanzi ni ya tatu. Spain imeporomoka hadi namba nane. Ureno namba 11, Italy 14 na England ni ya 20.
1. Ujerumani (+1)
2. Argentina (+3)
3. Uholanzi (+12)
4. Colombia (+4)
5. Ubelgiji (+6)
6. Uruguay (+1)
7. Brazil (-4)
8. Spain (-7)
9. Uswisi (-3)
10. Ufaransa (+7)
AFRIKA MASHARIKI NA KATI
87. Uganda (-1)
95. Kenya (+13)
96. DRC (-12)
106. Tanzania (+7)
109. Rwanda (+7)
126. Burundi (+2)
Kwa orodha kamili bofya hapa SOMA HAPA
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu. LIKE HAPA