HOT NEWS..!!! WATU WASIOJULIKANA WAMERUSHA BOMU NA KUWAJERUHI WATU 8 ARUSHA JANA JIONI ..{PICHA}
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/hot-news-watu-wasiojulikana-wamerusha.html
Bomu limerushwa na watu waliokuwa kwenye pikipiki nakujeruhi watu zaidi
ya wanane waliokuwa wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vema.



Taarifa kamili itakuijia baada ya muda endelea kutembelea mtandao huu.
(Picha kwa hisani ya JF)
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA