ISHU KAMILI JUU YA MSANII LINAH KUONGWA GARI AINA YA MARK X
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/ishu-kamili-juu-ya-msanii-linah-kuongwa.html
Taarifa
ikufikie kuwa staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ amekanusha
stori za madai ya kuhongwa gari jipya analosukuma mjini kwa sasa aina
ya Toyota Mark X.
“Nani kasema nimehongwa gari? Siwezi kuhongwa gari kwani najituma sana kwemye kazi yangu,” alisema Linah.Mbali na kumiliki ndinga hilo, miezi kadhaa iliyopita aliwajengea nyumba wazazi wake na sasa anajenga ya kwake.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA