TAZAMA PICHA UANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA URAIA WILAYA YA MKURANGA

                        Wakitoa maelekezo jinsi ya kujanza fomu. 
Leo ni Siku ya mwisho kujiandikisha kitambulisho cha Urania wilayani Mkuranga. Napa nipo katika KITUO cha Mkuranga A. Zoezi linakwenda vizuri kulinganisha na juzi foleni zilikuwa kubwa so katika uandikishwaji tu Bali na sehemu za kutoa KOPI yaani nakala za vitambulisho NA kuwaona watendaji.
 Wananchi mbalimbali wakiwa wamejitokeza tofauti na siku nyingine na ikiwa leo ndio siku ya mwisho ya uandikishaji.
hapa ni sehemu ya uandikishaji katika kituo cha mkuranga A wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani.
Mdau wangu aliyenitumia taarifa hii anasema kuwa watu wengi wapo manyumbani wakisubiri kuwa watu wapungue kwenye vituo lakini jinsi masa yanavyokwenda na muda wa kuandikisha unatokomea. 
 kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item